HOUSE OF REPRESENTATIVES

BARAZA LA WAWAKILISHI

Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid akifurahia Jambo na Mgeni wake Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Mhe Martin Ngoga wakati walipokutana kwa ajili ya kufanya mazungumzo hivi karibuni alipokuja Zanzibar kwa ajili ya kushiriki Sherehe za miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Mgeni Hassan Juma akiwakabidhi Wachezaji wa timu ya wilaya ya Magaharibi Medali za ushindi wa tatu katika Mashindano ya watoto Mapinduzi Cup yaliyomalizika hivi karibuni visiwani Zanzibar Viongozi mbali mbali wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiongozwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zubeir Ali Maulid, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuweka jiwe la msingi Hanga la KMKM Wete, ikiwa ni shamra shamra za miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zubeir Ali Maulid, akizungumza na Maofisa na Wapiganaji wa KMKM pamoja na Wananchi wa Wete , mara baada ya kuweka jiwe la Msingi katika Jengo Hanga la KMKM Wete, ikiwa ni shamra shamra za miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar Makamo wa Pili wa Rais Mhe Hemed Suleiman Abdulla akiakhirisha Mkutano wa Tano wa Baraza la Kumi la Wawakilishi. Baraza hilo limeakhirishwa hadi  siku ya jumatano tarehe 16 februari 2022 saa tatu kamil;i asubuhi

The Zanzibar House of Representatives is one of the two parts forming the Zanzibar Legislative organ. The Zanzibar President on one part and the Representatives on the other part of the House.

Zanzibar together with Mainland Tanzania forms the United Republic of Tanzania. The House of Representatives is legislative body for non Union matters in Zanzibar, while Union matters are dealt with the Parliament of the United Republic of Tanzania.

As a Representative body of the people, the Zanzibar House of Representatives is mandated to oversight the Government of Zanzibar.

Taarifa ya shughuli za Mkutano wa Tano wa Baraza la Kumi la Wawakilishi 2021 2021-12-13 Download

Ratiba ya Mkutano wa Tano wa Baraza la Kumi la Wawakilishi. Download

Kikao cha Sita 2021-12-24 Download
Hotuba ya Kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Kazi za Kawaida na Maendeleo ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Mwaka 2021/2022 Download
Hotuba ya maoni ya Kamati kuhusu Mswada wa Sheria ya kuanzisha Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Download

Events

Shughuli za Mkutano wa Tano wa Baraza la Kumi la Wawakilishi.

News from the House

Hon. Zubeir Ali Maulid (Speaker)

Upcoming Events