Mhe. Zubeir Ali Maulid achaguliwa tena kuwa Spika wa Baraza la Wawakilishi

Posted on: 06.11.2025

Wajumbe wa Baraza la Kumi na moja la Wawakilishi Zanzibar wamemchagua Mhe. Zubeir Ali Maulid kuwa Spika wa Baraza hilo kwa kipindi cha 2025 – 2030. Mhe. Zubeir amepata kura 56 kati ya kura 68 zilizopigwa sawa na asilimia 94.6.

Spika Zubeir hii niawamu yake ya tatu ya kuongoza Baraza hilo ambapo amechukua Spika tokea Baraza la tisa.

//