Taarifa ya shughuli za Mkutano wa 17 wa Baraza la Kumi la Wawakilishi

Posted on: 28.11.2024

Mkutano wa Kumi na Saba wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar unatarajiwa kuanza siku ya Jumatano tarehe 27 Novemba, 2024, saa 3:00 asubuhi.

A: SHUGHULI ZA BARAZA

Shughuli za Mkutano huo zitakuwa kama ifuatavyo:-

1. Maswali 130 ambayo Afisi ya Baraza la Wawakilishi imepokea na kuratibu kwa ajili ya Mkutano huu.

2. Taarifa za Mwaka za Utekelezaji wa Majukumu ya Taasisi za Serikali kama Sheria zao zinavyoelekeza.

//