Dira & Malengo

Dira

Baraza la Wawakilishi litahakikisha kuwa ni chombo cha Kidemokrasia chenye ufanisi kwa ajili ya Maendeleo na Ustawi wa watu wa Zanzibar.

Malengo

Kukuza na Kudumisha Demokrasia halisi ya Kibunge katika Zanzibar ambayo itawajengea uwezo wananchi wa kushiriki katika shughuli za kidemokrasia ya Kibunge na nyenginezo kwa ajili ya kufikia maendeleo endelevu na Utawala Bora.

//