HOUSE OF REPRESENTATIVES

BARAZA LA WAWAKILISHI

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mheshimiwa Zubeir Ali Maulid akiongoza kikao katika Mkutano wa sita  wa kutetea na kuunga mkono harakati (Intifada)za Wapalestina za kupata makaazi ya amani na kuondosha migogoro katika Mashariki ya Kati. Mheshimiwa Zubeir Ali Maulid (wa kwanza kushoto) akibadilishana mawazo na Spika wa Bunge la Iran (wa kwanza kulia na wa pili yake ni mkalimani wake) pamoja Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (wa pili kushoto) Mheshimiwa Job Yustino Ndugai,  katka mkutano wa kuunga mkono juhudi za wapalestina nchini Iran. Mwenyekiti wa kamati ya kusimamia ofisi za viongozi wakuu wa kitaifa, mhe. Omar seif abeid, akiwasilisha muhtasari wa ripoti ya kamati hiyo kwa mwaka wa fedha mwaka 2016/2017 mbele ya baraza la wawakilishi siku ya tarehe 21/02/2017 Mhe. Simai mohammed said akichangia mswada wa marekebisho ya sheria ya chakula dawa na vipodozi nam.2 ya 2006, siku ya tarehe 20/02/2017 ikiwa ni muendelezo vikao vya mkutano wa Tano wa baraza la wawakilishi zanzibar. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakisoma dua ya kuliombea Baraza na Serikali katika kikao cha kwanza cha Mkutano wa Tano  wa Baraza la Wawakilishi ambao umeanza tarehe 15/02/2017.

The Zanzibar House of Representatives is one of the two parts forming the Zanzibar Legislative organ. The Zanzibar President on one part and the Representatives on the other part of the House.

Zanzibar together with Mainland Tanzania forms the United Republic of Tanzania. The House of Representatives is legislative body for non Union matters in Zanzibar, while Union matters are dealt with the Parliament of the United Republic of Tanzania.

As a Representative body of the people, the Zanzibar House of Representatives is mandated to oversight the Government of Zanzibar.

Taarifa ya shughuli za Mkutano wa Tano wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Download

Kikao cha Saba 2017-02-23 Download

Waraka wa Mswaada wa Sheria ya Kufuta Sheria ya Uchaguzi Download

Waraka wa Mswaada wa Sheria ya Kufuta Sheria ya Nembo ya Taifa Download

Ripoti ya Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 Download

Current Events

Mkutano wa Tano wa Baraza la Tisa la Wawakilishi ukiendelea.

News from the House

Hon. Zubeir Ali Maulid (Speaker)

Upcoming Events

Stay connected