Taarifa ya shughuli za Mkutano wa Saba wa Baraza la Kumi la Wawakilishi

Taarifa ya shughuli za mkutano wa saba wa baraza la kumi la wawakilishi utakaojadili bajeti ya serikali kwa mwaka 2022/2023. Mkutano huo unatarajiwa kuanza siku ya Jumatano tarehe 27Aprili, 2022, saa3:00 asubuhi.

Shughuli za Baraza: 

Shughuli za Mkutano huo zitakuwa kama ifuatavyo:- 

  1. Maswali na Majibu.

 Afisi ya Baraza la Wawakilishi imepokea na kuratibu maswali 185 kwa ajili ya Mkutano huu.

  1. Majadiliano ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

 3.Miswada ya Sheria.

Miswada miwili ya Sheria itawasilishwa na kujadiliwa, Miswada yenyewe ni:-

  1. Mswada wa Sheria ya Fedha (Finance Bill)
  2. Mswada wa Sheria ya Kuidhinisha Matumizi ya Serikali kwa Mwaka 2022/2023. 
  3. Miswada kusomwa kwa mara ya kwanza: