Taarifa ya shughuli za mkutano wa saba wa baraza la kumi la wawakilishi utakaojadili bajeti ya serikali kwa mwaka 2022/2023. Mkutano huo unatarajiwa kuanza siku ya Jumatano tarehe 27Aprili, 2022, saa3:00 asubuhi.
Shughuli za Baraza:
Shughuli za Mkutano huo zitakuwa kama ifuatavyo:-
- Maswali na Majibu.
Afisi ya Baraza la Wawakilishi imepokea na kuratibu maswali 185 kwa ajili ya Mkutano huu.
- Majadiliano ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mwaka wa fedha 2022/2023.
3.Miswada ya Sheria.
Miswada miwili ya Sheria itawasilishwa na kujadiliwa, Miswada yenyewe ni:-
- Mswada wa Sheria ya Fedha (Finance Bill)
- Mswada wa Sheria ya Kuidhinisha Matumizi ya Serikali kwa Mwaka 2022/2023.
- Miswada kusomwa kwa mara ya kwanza: