Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi washiriki mbio za Kili International Marathon

Posted on: 27.02.2023

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameungana na wanamichezo kutoka Mataifa mbali mbali katika msimu wa ishirini na moja wa  mbio za Kili International Marathon zilizofanyika mkoani Kilimanjaro wilaya ya Moshi.

 

Wajumbe hao wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Sport Club Mhe. Miraji Khamis Mussa  wameshiriki katika umbali tofauti ikiwemo kilomita 5, 21 na 42 yaliyoanzia katika viwanja vya chuo cha ushirika mkoani moshi.

//