HOUSE OF REPRESENTATIVES

BARAZA LA WAWAKILISHI

Acts

Acts of House of Representatives Zanzibar, from 1984 to date

Please Select Year:

List of Acts Year Enacted
Name: The Written Laws (Miscellanious Amendment) Act, No.1/2021. Year: 2021
An Act to Amend Various Laws And Make Better Provisions Thereof
Read more
Name: Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbali mbali, No.1/2021 Year: 2021
Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbali Mbali na Kuweka Masharti Bora Ndani yake.
Read more
Name: The Appropriation Act, No. 2 of 2021. Year: 2021
An Act to appropriate the Sum of one Trillion, Eight Hundred and Twenty Nine Billions, Nine Hundred and Eighty nine millions, and Seven Eighty Four Hundred Thousand out of the consolidated fund for the year ending on the Thirtieth day of June, Two Thousand and Twenty Two, to Authorise the reallocation of certain appropriation and to provide for matters incidental thereto and connected therewith
Read more
Name: Sheria ya Makisio na Matumizi, No.2/2021 Year: 2021
Sheria ya kuidhinisha Makisio na Matumizi ya Shilingi Trilioni moja Bilioni mia nane ishirini na tisa, Milioni mia tisa themanini na tisa, Laki saba na elfu themanini na nne kutoka mfuko mkuu wa Hazina ya Serikali kwa mwaka wa fedha unaoishia siku ya tarehe Thelathini Juni, mwaka wa Elfu mbili na Ishirini na mbili na kuruhusu utoaji na uhaulishaji wa fedha hizo pamoja na mambo yanayohusiana na hayo
Read more
Name: The Finance (Public Revenue Management) Act, No.3/2021. Year: 2021
An Act Impose and Alter Certain Taxes And Duties And to Amend Certain Written Financial And Tax Laws Relating to Collection And Management of Public Revenues and other matters connected therewith
Read more
Name: Sheria ya Fedha (Usimamizi wa Mapato), No.3/2021 Year: 2021
Sheria ya kutoza kodi na kurekebisha baadhi ya Sheria za Fedha na Kodi kuhusiana na ukusanyaji na udhibiti wa Mapato ya Serikali na mambo mengine yanayohusiana na hayo
Read more
Name: The Office of the Grand Mufti of Zanzibar Act, No.4/2021. Year: 2021
An Act to Establish the Office of the Grand Mufti of Zanzibar, and provide for proper supervision of Islamic affairs and other matters related thereto
Read more
Name: Sheria ya Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar, Act No.4/2021 Year: 2021
Sheria ya Kuanzisha Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar, na kuweka usimamizi mzuri wa shughuli za Kiislam Zanzibar na mambo mengine yanayohusiana na hayo
Read more
Name: The Written Laws (Miscellaneous Amendment) Act, No.5/2021. Year: 2021
an Act to Amend Various Laws and make better provisions thereof
Read more
Name: Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali, No.5/2021 Year: 2021
Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbali Mbali na kuweka masharti bora ndani yake.
Read more
Name: The Office of Treasury Registrar and Public Asset Management Act, No.6/2021 Year: 2021
An Act to Establish The Office of Treasury Registrar and Public Asset Management and Other Matters Related thereto
Read more
Name: Sheria ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na Usimamizi wa Mali za Umma No.6/2021 Year: 2021
Sheria ya Kuanzisha Ofisi ya Msajili wa Hazina na Usimamizi wa Mali za Umma na Mambo mengine yanayohusiana na hayo
Read more
Name: The Written Laws (Miscellaneous Amendment) Act, No.7/2021 Year: 2021
An Act to Amend Various Laws and make better provisions thereof
Read more
Name: Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali, Act No.7/2021 Year: 2021
Sheria ya Kurekebisha Sheria Mbali Mbali na Kuweka Masharti Bora ndani yake
Read more
Name: The Zanzibar Drugs Control and Enforcement Authority Act, No.8/2021 Year: 2021
An Act to Establish the Zanzibar Drugs Control and Enforcement Authority, Functions, Duties and other matters related thereto
Read more
Name: Sheria ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar Act, No.8/2021 Year: 2021
Sheria ya Kuanzisha Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Kazi, Majukumu na mambo mengine yanayohusiana na hayo
Read more


Hon. Zubeir Ali Maulid (Speaker)

Upcoming Events