HOUSE OF REPRESENTATIVES

BARAZA LA WAWAKILISHI

Acts

Acts of House of Representatives Zanzibar, from 1984 to date

Please Select Year:

List of Acts Year Enacted
Name: The Advocates Act, Act No.1/2020. Year: 2020
Act to repeal the Legal Practioners Decree Cap. 28 and the notaries Public Decree Cap. 29 and enact the Advocates Act and other matters related thereto.
Read more
Name: Sheria ya Mawakili Zanzibar Act, No.1/2020. Year: 2020
Sheria ya kufuta Sheria ya Mawakili Sura ya 28 na Sheria ya Wathibitishaji Nyaraka Sura ya 29 na kutunga Sheria ya Mawakili na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: Elder Persons Affairs Act, No.2/2020. Year: 2020
Act to Provide for Provisions Pertaining to the Rights and Welfare Services to Elder Persons, and Establish the Universal Pension Scheme, Its Management and other matter connected there with.
Read more
Name: Sheria ya Masuala ya Wazee, Act No.2/2020 Year: 2020
Mswada wa Sheria ya kuweka Masharti yanayohusiana na Haki na Huduma za Ustawi kwa Wazee, na Kuanzisha Mpango wa Pensheni Jamii, Usimamizi wake na mambo mengine yanayohusiana na hayo
Read more
Name: The Presidential Affairs Act, No.3/2020 Year: 2020
An Act to repeal the Presidential Affairs Act, No.5 of 1993 and to enact the Presidential Affairs Act which provides for certain matters relating to the affairs of the President and other matters connected therewith and incidental thereto..
Read more
Name: Sheria ya Mambo ya Rais, No.3/2020 Year: 2020
Sheria ya Kufuta Sheria ya Mambo ya Rais, Namba 5 ya 1993 na Kutunga Sheria ya Mambo ya Rais, Kuweka Masharti bora zaidi kuhusiana na Mambo ya Rais na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: The Diaspora Affairs Act, No.4/2020 Year: 2020
An Act to enact the Diaspora Affairs Act which provides for the matters connected therewith and incidental thereto.
Read more
Name: Sheria ya Masuala ya Diaspora, No.4/2020 Year: 2020
Sheria ya Kuanzisha Sheria ya Masuala ya Diaspora na mambo mengine yanayohusiana na hayo
Read more
Name: The Zanzibar Health Research Institute Act, No.5/2020 Year: 2020
An Act to establish the Zanzibar Health Research Institute and other matters connected therewith.
Read more
Name: Sheria ya Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar, No.5/2020 Year: 2020
Sheria ya Kuanzisha Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: The Zanzibar Weights and Measures Agency Act, No.6/2020 Year: 2020
An Act to Repeal the Weights and Measures Act, No.4 of 1983 and to establish the Zanzibar Weights and Measures Agency Act and other matters connected therewith.
Read more
Name: Sheria ya Wakala wa Vipimo Zanzibar, No.6/2020 Year: 2020
Sheria ya Kufuta Sheria ya Vipimo, Namba 4 ya mwaka 1983 na Kuanzisha Sheria ya Wakala wa Vipimo Zanzibar na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: The Zanzibar Livestock Research Institute Act, No.7/2020 Year: 2020
An Act to establish the Zanzibar Livestock Research Institute and other matters connected therewith.
Read more
Name: Sheria ya Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Zanzibar, No.7/2020. Year: 2020
Sheria ya Kuanzisha Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Zanzibar na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: The Zanzibar Agricultural Research Institute Act, No.8/2020 Year: 2020
An Act to Repeal the Zanzibar Agricultural Research Institute Act, No.8 of 2012 and to establish an Act of the Zanzibar Agricultural Research Institute and other matters connected therewith.
Read more
Name: Sheria ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Zanzibar, No.8/2020 Year: 2020
Sheria ya Kufuta Sheria ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Zanzibar, Namba 8 ya mwaka 2012 na Kutunga Sheria ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Zanzibar na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: The Liquor Act, No.9/2020 Year: 2020
An Act to repeal the liquor decree, Cap 163 of 1928 and enact an Act which provides for the provisions with regard to control and regulate for the importation, warehousing, sale, delivery consumption of intoxicating liquours and for other matters connected therewith and incidental thereto.
Read more
Name: Sheria ya Vileo, No.9/2020. Year: 2020
Sheria ya kufuta Sheria ya Vileo, Sura ya 163 ya mwaka 1928 na Kutunga sheria inayoweka masharti ya kudhibiti na kusimamia uagizaji, uhifadhi,uuzaji, usambazaji na unywaji vileo na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: The Medical Laboratory Practitioners Act, No.10/2020. Year: 2020
An Act to provide for the Registration and Regulation of Medical Laboratory Practitioners and other matters related thereto.
Read more
Name: Sheria ya Wataalamu wa Maabara za Tiba, No.10/2020 Year: 2020
Sheria ya Usajili na Usimamizi wa Wataalamu wa Maabara za Tiba na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more


Hon. Zubeir Ali Maulid (Speaker)

Upcoming Events

Stay connected