HOUSE OF REPRESENTATIVES

BARAZA LA WAWAKILISHI

Acts

Acts of House of Representatives Zanzibar, from 1984 to date

Please Select Year:

List of Acts Year Enacted
Name: Written Laws (Miscellaneous Amendment), Act No.1/2018. Year: 2018
Act to Amend Various Laws and make better provisions thereof.
Read more
Name: Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Act, No.1/2018. Year: 2018
Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali na kuweka masharti bora ndani yake.
Read more
Name: The Zanzibar Micro, Small and Medium Industrial Development Agency Act, No.2/2018. Year: 2018
Act to Establish the Zanzibar Micro, Small and Medium Industrial Development Agency and to provide for the facilitation of promotion and development of Zanzibar Micro, Small and Medium Industries and other matters related therewith and incidental thereto.
Read more
Name: Sheria ya Wakala wa Maendeleo ya viwanda Vidogo Vidogo, Vidogo na vya Kati, Zanzibar Act, No.2/2018 Year: 2018
Sheria ya kuanzisha Wakala wa Maendeleo ya Viwanda Vidogo Vidogo, Vidogo na vya Kati, Zanzibar pamoja na kuwezesha ushajiishaji na uendelezaji wa Viwanda Vidogo vidogo, Vidogo na vya kati Zanzibar na mambo mengine yanayohusiana na hayo
Read more
Name: The Zanzibar Civil Status Registration Agency Act, No.3/2018. Year: 2018
Act to Establish the Zanzibar Civil Status Registration Agency and to make provisions for registration and other matters connected therewith.
Read more
Name: Sheria ya Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Act, No.3/2018. Year: 2018
Sheria ya kuanzisha Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar na kuweka vifungu vya Usajili na mambo
mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: The Election Act, No.4/2018. Year: 2018
An Act to Repeal the Elections Act No. 11 Of 1984 And Enact Elections Act Of 2018 And Other Matters Connected Therewith
Read more
Name: Sheria ya Uchaguzi, Act No.4/2018. Year: 2018
Sheria ya Kufuta Sheria ya Uchaguzi Nam.11 ya 1984 na Kutunga Sheria ya Uchaguzi ya mwaka 2018 na masuala mengine Yanayohusiana na hayo
Read more
Name: The Fair Competition and Consumer Protection Act, No.5/2018. Year: 2018
An Act to Repeal the Zanzibar Fair Trading and Consumer Protection Act No. 2 1995 and enact the new Fair Competition and Consumer Protection Act to provide for better provisions and other matters relatedThereto
Read more
Name: Sheria ya Ushindani halalai wa Biashara na Kumlinda Mtumiaji ya Zanzibar, Act No.5/2018. Year: 2018
Sheria ya Kufuta Sheria ya kusimamia mwenendo wa Biashara na kumlinda Mtumiaji ya Zanzibar Nam. 2 1995 na kutunga Sheria mpya ya Ushindani halalai wa Biashara na Kumlinda Mtumiaji, kuweka masharti bora zaidi pamoja na mambo mengine yanayohusiana na hayo
Read more
Name: The Penal Act, No.6/2018. Year: 2018
An Act to Repeal the Penal Act No. 6 Of 2004 and Enact New Penal Act, to provide for better provisions and other matters connected Therewith
Read more
Name: Sheria ya Adhabu, Act No.6/2018. Year: 2018
Sheria ya Kufuta Sheria ya Adhabu, Nam.6 ya 2004 na Kutunga Sheria Mpya ya Adhabu, kuweka masharti bora zaidi pamoja na mambo mengine yanayohusiana na hayo
Read more
Name: The Criminal Procedure Act, No.7/2018. Year: 2018
An Act to Repeal the Criminal Procedure Act No.7 Of 2004 And Re-enact a New Criminal Procedure and to provide for better procedures for Investigation and conduct of the Criminal Trials and for Other Matters related Thereto.
Read more
Name: Sheria ya Mwenendo wa Jinai, Act No.7/2018. Year: 2018
Sheria ya Kufuta Sheria ya Mwenendo wa Jinai Nam.7 ya 2004 na Kutunga Sheria Mpya ya Mwenendo wa Jinai na kuweka utaratibu bora wa upelelezi wa Makosa ya Jinai na usikilizaji wa Kesi za Jinai na Mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: The Appropriation Act, No.8/2018. Year: 2018
An act to appropriate the sum of One Trillion, Three Hundred and Fifteen Billions,One Hundred and Fourteen Millions and Three Hundred Thousand Shillings out of the consolidated fund to the service of the year ending on the thirtieth day of June, Two thousand and Nineteen, to authorize the reallocation of certain appropriation and to provide for matters incidental thereto and connected therewith
Read more
Name: Sheria ya Makisio na Matumizi, No.8/2018. Year: 2018
Sheria ya kuidhinisha makisio na matumizi ya Shingi Trilioni Moja Bilioni Mia Tatu na Kumi na Tano, Milioni Mia Moja Kumi na Nane na Laki Tatu kutoka Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali kwa mwaka wa Fedha unaoishia siku ya terehe Thalathini Juni, Mwaka wa Elfu Mbili na Kumi na Tisa na kuruhusu utoaji na uhaulishaji fedha hizo pamoja na Mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: The Finance(Public Revenue Management) Act, No.9/2018 Year: 2018
An act to impose and alters certain Taxes and duties and to amend certain written financial and Tax Laws relating to collection and Management of Public Revenues and other matters connected therewith
Read more
Name: Sheria ya Fedha (Usimamizi wa Fedha za Umma), Act No.9/2018 Year: 2018
Sheria ya kutoza kodi na kubadilisha baadhi ya Sheria za Fedha na Kodi Kuhusiana na Ukusanyaji na uthibiti wa mapato ya Serikali na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: Office of the chief Inspector of Education Act, No.10/2018 Year: 2018
An act to establish Office of the chief Inspector of Education and to make provisions for Education Inspection and other matters related thereto
Read more
Name: Sheria ya Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Elimu, Act No.10/2018 Year: 2018
Sheria ya Kuanzisha Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Elimu na kuweka Masharti ya Ukaguzi wa Elimu pamoja na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: The Judiciary Administration Act, No.11/2018 Year: 2018
An act to make better provisions for the Administration of Judiciary, to Elaborate the Judicial Service, to establish the Offices of the Chief Court Administrator and Registrar, to provide for the establishment of the Judiciary Fund, and to provide for related matters thereto
Read more
Name: Sheria ya Usimamizi wa Mahakama, Act No.11/2018 Year: 2018
Sheria ya kuweka masharti bora ya Usimamizi wa Mahakama, kufafanua Utumishi wa Mahakama kuanzisha Ofisi za Mtendaji Mkuu wa Mahakama na Mrajis, kuanzisha mfuko wa Mahakama, na kuweka masharti mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: Zanzibar Government Printing Press Agency Act, No.12/2018 Year: 2018
An act to establish the Zanzibar Government Printing Press Agency, and provide better provisions related to Functions, Powers,Administration and other matters connected thereto
Read more
Name: Sheria ya Wakala wa Serikali wa Uchapaji Zanzibar, Act No.12/2018 Year: 2018
Sheria ya Kuanzisha Wakala wa Serikali wa Uchapaji Zanzibarna kuweka Masharti Bora yanayohusiana na Kazi, Uwezo, Uongozi na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: Legal Aid Act, No.13/2018 Year: 2018
An act to provide for provisions to regulate the delivery of Legal Aid Services, to facilitate access to justice and to provide for other matters related thereto
Read more
Name: Sheria ya Msaada wa Kisheria, Act No.13/2018 Year: 2018
Sheria ya kuweka masharti yanayosimamia utoaji wa huduma za Msaada wa Kisheria, kurahisisha upatikanaji wa haki na kuweka masharti mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: The Zanzibar Investment Promotion and Protection Authority Act, No.14/2018 Year: 2018
An act to repeal the Zanzibar Investment Promotion and Protection Act No. 11 of 2004 and to establish an Act of The Zanzibar Investment Promotion and Protection Authority and provide for other matters related thereto
Read more
Name: Sheria ya Mamlaka ya Kukuza na Kulinda Uwekezaji Zanzibar, Act No.14/2018 Year: 2018
Sheria ya Kufuta Sheria ya Ukuzaji na kulinda Vitega Uchumi Nam. 11 ya 2004 na kutunga Sheria ya Mamlaka ya Kukuza na Kulinda Uwekezaji Zanzibar na kuweka masharti mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name:The Zanzibar Cooperative Societies Act, No.15/2018 Year: 2018
an Act to Repeal the Cooperative Societies Act, No. 4 of 1986 and Enact the Zanzibar Cooperative Societies Act of 2018 which Provide for the Formation and Operation of Cooperative Societies and other matters relating thereto
Read more
Name: Sheria ya Vyama vya Ushirika Zanzibar, Act No.15/2018 Year: 2018
Sheria ya Kufuta Sheria ya Vyama vya Ushirika Nam. 4 ya mwaka 1986 na Kutunga Sheria ya Vyama vya Ushirika Zanzibar ya mwaka 2018 ambayo inaweka utaratibu wa Uundaji na Uendeshaji wa Vyama vya Ushirika na Mambo Mengine yanayohusiana na hayo.
Read more


Hon. Zubeir Ali Maulid (Speaker)

Upcoming Events

Stay connected