HOUSE OF REPRESENTATIVES

BARAZA LA WAWAKILISHI

Acts

Acts of House of Representatives Zanzibar, from 1984 to date

Please Select Year:

List of Acts Year Enacted
Name: The Establishment of the Zanzibar Electoral Commission Office, Act No.1/2017. Year: 2017
An Act to repeal the Zanzibar Electoral Commission act no. 9 of 1992 and to enact the law to establish the Zanzibar Electoral Commission Office, Functions, Powers and provide for other matters connected therewith.
Read more
Name: Sheria ya Kuanzisha Afisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar Act, No.1/2017. Year: 2017
Sheria ya kufuta Sheria ya Tume ya Uchaguzi nam.9 ya 1992 na kutunga Sheria ya kuanzisha Afisi ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Majukumu, Uwezo na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: The Zanzibar Flag, Public Seal, Zanzibar National Anthem and Special Anthem Act, No.2/2017. Year: 2017
An Act to repeal the Public Seal act No.1 of 1985 and the Zanzibar Flag act no. 12 of 2004 and enact a Law to provide for better provisions relating to the Zanzibar Flag, Public Seal, Zanzibar National Anthem and Special Anthem act of 20017 and other matters connected thereto.
Read more
Name: Sheria ya Bendera ya Zanzibar, Nembo ya Serikali, Wimbo wa Taifa wa Zanzibar na Wimbo Maalum, Act No.2/2017 Year: 2017
Sheri ya kufuta Sheria ya Nembo nam. 1 ya 1985 na Sheria ya Bendera ya Zanzibar nam. 12 ya 2004 na kutunga Sheria inayoweka masharti bora yanayohusiana na Bendera ya Zanzibar, Nembo ya Serikali, Wimbo wa Taifa wa Zanzibar na Wimbo Maalum ya 2017 na mambo mengine yanayohusianana hayo.
Read more
Name: The Zanzibar Food, Drugs and Cosmetics (Amendment) Act, No.3/2017. Year: 2017
An act to amend the Food, Drugs and Cosmetics act no. 2 of 2006.
Read more
Name: Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi Act, No.3/2017. Year: 2017
Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi nam. 2 ya 2006.
Read more
Name: The Zanzibar Public Leaders' Code of Ethics(Amendment) Act, No.4/2017. Year: 2017
An act to amend the Zanzibar Public Leaders' Code of Ethics act no. 4 of 2015.
Read more
Name: Sheria ya (Marekebisho) ya Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Act, No.4/2017. Year: 2017
Sheria ya Kurekebisha Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, nam. 4 ya 2015.
Read more


Hon. Zubeir Ali Maulid (Speaker)

Upcoming Events

Stay connected