HOUSE OF REPRESENTATIVES

BARAZA LA WAWAKILISHI

Acts

Acts of House of Representatives Zanzibar, from 1984 to date

Please Select Year:

List of Acts Year Enacted
Name: Sheria ya Fedha (Usimamizi wa Mapato), Act No.1/2016 Year: 2016
Sheria ya kutoza kodi na kubadilisha baadhi ya Sheria za Fedha na Kodi Kuhusiana na Ukusanyaji na uthibiti wa mapato ya Serikali na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: The Finance(Public Revenue Management) Act, No.1/2016 Year: 2016
An act to impose and alters certain Taxes and duties and to amend certain written financial and Tax Laws relating to collection and Management of Public Revenues
Read more
Name: Sheria ya Makisio na Matumizi Act, No.2/2016 Year: 2016
Sheria ya kuidhinisha makisio na matumizi ya Shingi Bilion Mia Nane na Arobaini na Moja Mia Nne na Sabini na Saba Milioni na Laki Tano kutoka Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali kwa mwaka wa Fedha unaoishia siku ya terehe 30 Juni, Mmwaka wa Elfu Mbili na Kumi na Saba na kuruhusu utoaji na uhaulishaji fedha hizo pamoja na Mambo yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: The Appropriation Act, No.2/2016 Year: 2016
An act to appropriate the sum of Eight Forty One Billions, Four Hundred Seventy Seven Million, Five Hundred Thousand, Shillings out of the consolidated fund to the service of the year ending on the thirtieth day of June, Two thousand and Seventeen, to authorize the reallocation of certain appropriation and to provide for matters incidental thereto and connected therewith
Read more
Name: Sheria ya Hospitali ya Mnazi Mmoja Act, No.3/2016 Year: 2016
Sheria ya kuanzisaha Hospitali ya Mnazi Mmoja na Mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: The Mnazi Mmoja Hospital Act, No.3/2016 Year: 2016
An Act to establish Mnazi Mmoja Hospital and other matters related thereto.
Read more
Name: The Zanzibar Institute of Education Act, No.4/2016 Year: 2016
An act to establish Zanzibar Institute of Education and other matters related thereto
Read more
Name: Sheria ya Taasisi ya Elimu Zanzibar, No.4/2016 Year: 2016
Sheria ya kuanzisaha Taasisi ya Elimu Zanzibar na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: The Miscellaneous Amendment Act, No.5/2016 Year: 2016
An act to amend various Laws and make better provisions thereof.
Read more
Name: Sheria ya marekebisho ya Sheria mbalimbali, No.5/2016 Year: 2016
Sheria ya marekebisho ya Sheria mbalimbali na kuweka masharti yaliyobora kuhusiana na mambo hayo.
Read more
Name: The Oil and Gas(Upstream) Act, No.6/2016 Year: 2016
An act to provide for Regulation of (Upstream) Oil and Gas activities, establishment of the Zanzibar Petroleum (Upstream) Regulatory Authority, establishement of the Zanzibar Petroleum development Corporation, and to secure the accountability of Petroleum entities and to provide for other Related matters
Read more
Name: Sheria ya (Utafutaji na Uchimbaji) Mafuta na Gesi Asilia, No.6/2016 Year: 2016
Sheria ya (Utafutaji na Uchimbaji) Mafuta na Gesi Asilia, kuanzisha Mamlaka ya Udhibiti wa Shughuli za Utafutaji na Uchimbaji wa Mafuta na Gesi Asilia, kuanzisha Kampuni ya Maendeleo ya Mafuta na kuhakikisha uwajibikaji wa Taasisi za Mafuta na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: The State University of Zanzibar(Amendment) Act, No.7/2016 Year: 2016
An act to amend the State University of Zanzibar Act No. 8 of 1999 as amended by Act No. 11 of 2009 and to provide for better provisions and other matters connected therewith.
Read more
Name: Sheria ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (Marekebisho), No.7/2016 Year: 2016
Sheria ya Kurekebisha Sheria ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar, Nam. 8 ya 1999 kama ilivyorekebishwa na Sheria Nam. 11 ya 2009 na kuweka masharti bora pamoja na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: Sheria ya Marekebisho ya Kumi na Moja ya Katiba ya Zanzibar, No.8/2016 Year: 2016
Sheria ya Marekebisho ya Kumi na Moja ya Katiba ya Zanzibar ya 1984.
Read more
Name: Sheria ya Ushahidi, No.9/2016 Year: 2016
Sheria ya kufuta Sheria ya Ushahidi sur Y Tano na kutunga Sheria mpya ya Ushahidi na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: The evidence act, No.9/2016 Year: 2016
An Act to repeal the Evidence decree, Cap 5 and enact the new evidence act and matters connected therewith
Read more
Name: Sheria ya Marekebisho ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii, No.10/2016 Year: 2016
Sheria ya Marekebisho ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: The Zanzibar Social Security Fund (Amendment), No.10/2016 Year: 2016
An Act to amend the Zanzibar Social Security Fund No. 2 of 2005, to provide for better provisions for efficiency and effective management of the fund and matters connected thereto
Read more
Name: The Public Procurement and Disposal of Public Assets Act, No. 11/2016 Year: 2016
An Act to repeal the Public Procurement and Disposal of Public Assets Act, No. 09 of 2005 and re-enact the Public Procurement and Disposal of Public Assets Act and provide for other matters connected therewith.
Read more
Name: Sheria ya Ununuzi na Uondoshaji wa Mali za Umma Act, No.11/2016 Year: 2016
Sheria ya kufuta Sheria ya Ununuzi na Uondoshaji wa Mali za Umma nam. 09 ya 2005 na kutunga tena Sheria ya Ununuzi na Uondoshaji wa Mali za Umma na mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Read more
Name: Public Finance Management Act, No. 12/2016 Year: 2016
An Act for the Public Finance management and to make better provisions for the more effective control, management and regulation of the Public Finance and to provide for other matters connected therewith and to repeal the public finance act no. 12 of 2005
Read more
Name: Sheria ya usimamizi wa Fedha za Umma, No.12/2016 Year: 2016
Sheria ya usimamizi wa Fedha za Umma na kuweka masharti bora ya kudhibiti na kusimamia fedha za umma na kuweka mambo mengine yanayohusiana na hayo na kufuta Sheria ya usimamizi wa fedha za Serikali nam.12 ya 2005.
Read more


Hon. Zubeir Ali Maulid (Speaker)

Upcoming Events

Stay connected