-
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid akizungumza na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania, Mhe. Yordenis
Despaigne Vera Ofisini kwake Chukwani - Zanzibar wakati alipofika kwa ajili ya kujitambulisha. -
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid akipokea Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya mwaka
2020/2021 kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, hafla
hiyo imefanyika katika Ofisi ya Spika Chukwani Zanzibar. -
Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Mohammed Ahmada Salum
wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA mara baada ya kukamilika kazi ya
kupokea taarifa ya utekelezaji wa shughuli chuoni hapo. -
Muongoza wageni wa maeneo ya historia nyumbani kwa Baba wa Taifa, Mwitongo Butiama Bi. Gaudensia Waziri akitoa
maelezo kwa Wajumbe wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu kuhusu Kaburi na historia ya Chifu Burito
aliyekuwa chifu wa Kabila la Wazanaki. -
Wajumbe wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa wkiongozwa na Mhe. Machano Othman Said wakiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya wanufaika wa mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF kupitia mradi wa kunusuru Kaya
maskini katika kijiji cha Muriaza wilaya ya Butiama. -
Wajumbe wa Kamati ya Kuchunguza na Kudhibiti Hesabu za Serikali PAC ya Baraza la Wawakilishi chini ya Mwenyekiti wake
Mhe. Juma Ali Khatib wakifatilia majibu ya hoja kuhusu ripoti ya ukaguzi wa Mfuko wa jimbo 2019/2020 katika majimbo
ya Wete, Chonga, Wawi na Mtambwe

Hon. Zubeir Ali Maulid
(Speaker)

Mrs. Raya Issa Msellem
(Clerk)
- Members of the House
- Upcoming Events
- Visits
- Vacancies
- 50 Elected Members;
- Special Seat 18;
- President Nominee 7;
- Speaker 1,
- Attorney General 1;
- Questions();
- Bills Passed();
- Private Motions();
News & Events

Taarifa ya shughuli za Mkutano wa Tisa wa Baraza la Kumi la Wawakilishi
Mkutano wa Nane wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar unatarajiwa kuanza sikuya Jumatano

Ziara ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Hifadhi ya Taifa ya Arusha National Park
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zubeir Ali Maulid amewaongoza Wajumbe wa Baraza

Wawakilishi washiriki Bonanza la michezo Arusha.
Wajumbe wa baraza la wawakilishi Zanzibar wameshiriki bonanza maalum la michezo jijini Arusha kwa